POSHO LA NAULI 50,000 KWA WAFANYAKAZI WATAKAOSAHILI
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuhakikisha changamoto zote za wafanyakazi inazitatua kwa wakati, ikiwemo kutoa posho la nauli a 50, 000 kwa wafanyakazi watakaostahili, kutoa huduma bora kwa wananchi na kuendelea kukuza uchumi wa nchi Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani, (Mei mosi) Uwanja wa…