Serikali yatoa majibu adhabu ya kifo, kukazia hukumu
Dodoma. Wakati Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, Serikali imesema suala la kukazia hukumu na adhabu ya kifo ni vitu ambavyo vinafanyiwa kazi, na mabadiliko ya baadhi ya sheria yameanza kuonekana. Pia, imesema Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 imeendelea kufanyiwa kazi kwa kukusanywa maoni na itakapokamilika itawasilishwa bungeni. Hayo yamesemwa leo Jumatatu…