DKT.BITEKO ATEMBELEA BANDA LA BARRICK KWENYE MAONESHO YA OSHA NA KUPONGEZA KAMPENI YAKE YA USALAMA YA ‘JOURNEY TO ZERO’
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko, ameipongeza Kampuni ya Barrick chini kupitia migodi yake ya Bulyanhulu, North Mara na Buzwagi kwa kuzingatia kanuni za Afya na usalama kwa ufasaha kupitia sera yake ya ‘Journey to zero’. Biteko alitoa pongezi hizo baada ya kutembelea banda la Barrick Tanzania katika maonesho…