Samia ataja miradi ambayo Tanzania inashirikiana na IDA

Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na kubainisha miradi ambayo Tanzania inashirikiana na Mfuko Maalum wa Benki ya Dunia ambao unatoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea (IDA), kuitekeleza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Dk. Samia…

Read More

Maporomoko ya tope yafunika nyumba 13 Muleba

Muleba. Maporomoko ya matope katika Mlima Kabumbilo Kijiji cha Ilemela wilayani Muleba yamefunika nyumba 13 wananchi wakizuiliwa kufika eneo hilo. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 29, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Dk Abel Nyamahanga amesema nyumba 13 zifunikwa na matope yaliyoporomoka kutoka Mlima Kabumbilo Mlima huo upo kwenye vitongoji vya…

Read More

Wabunifu teknolojia za elimu “njooni mchukue mkwanja”

Dar es Salaam. Wabunifu wa teknolojia ya elimu nchini wametakiwa kuwasilisha maombi ya fedha na mafunzo kwa ajili ya kuendeleza bunifu zao ili kuleta suluhu za kielimu nchini. Akizungumza jana Aprili 28, 2024 wakati wa kutambulisha mradi wa wa mafunzo hayo uitwao Mastercard Foundation EdTech Fellowship, Mtendaji Mkuu wa Sahara Ventures, Jumanne Mtambalike amesema lengo…

Read More

7 wafa Ulanga, mbunge alia kutelekezwa na mawaziri, Tanroad

Watoto saba wamepoteza maisha na zaidi ya kaya 70 kukosa makazi Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro kutokana na athari za mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Humo na nchini kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea). Mbunge wa Ulanga, Salim Hasham amebainisha hayo jana Jumapili wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Morogoro juu…

Read More