Bolt Business yazindua Huduma yake kuponi kwa makampuni ili kutoa huduma kwa wafanyakazi, wateja na washirika kwa urahisi nchini Tanzania

Kampuni inayoongoza kwa mahitaji ya usafiri kwa makampuni kwa njia ya mtandao barani Afrika Bolt Bolt Business, imetangaza huduma yake mpya ya Bolt Business Kuponi ili kuruhusu wafanyabiashara/mashirika kushiriki au kulipia kikamilifu gharama ya safari ya mara moja kwa wafanyakazi na wateja wao.  Kuponi ni sehemu ya Bidhaa ya Bolt Business inayolenga kusaidia wateja walio…

Read More

CCM wilaya ya mbogwe walia na tozo mazao ya chakula kwa wakulima.

Wananchi na Wakulima katika Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita wamewalalamikia viongozi wao wa kata kwa kushindwa kudhibiti Baadhi ya watumishi wa Halmashsuri hiyo ambao wamekuwa wakikamata wakulima wanapokuwa wanavuna Mazao huku wakiwataka kulipia ushuru wa Mazao ya chakula. Hayo yamebainishwa katika kikao cha uwasilishaji Taarifa ya utekelezaji wa Irani ya CCM kwa kipindi…

Read More

Mafuriko yachelewesha kufungua shule Kenya

Nairobi, Kenya/AFP.  Kenya imesema leo Jumatatu kuwa imeahirisha kufunguliwa kwa shule kwa wiki moja kutokana na “mvua kubwa inayoendelea” ambayo imesababisha mafuriko katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Awali shule zilipangwa kufunguliwa leo Jumatatu Aprili 29, 2024 baada ya likizo za katikati ya muhula, lakini mvua kubwa za Masika zimeathiri miundombinu mingi ya elimu na…

Read More

DKT. BITEKO MGENI RASMI MKUTANO WA TEF

Mjumbe wa kamati ya Utendaji ya TEF Bw.Neville Meena akizungumza na Waandishi wa habari Leo Aprili 28,2024 kuhusu Mkutano wa kitaaluma wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) utakafanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma. Mwandishi Mkongwe na Mwanachama wa TEF Bw. Said Salim Said,akisisitiza jambo kwa Waandishi wa habari kuelekea  Mkutano wa kitaaluma wa jukwaa la…

Read More