Mawasiliano Pwani-Lindi yarejea baada ya barabara kukatika
Dar es Salaam. Sehemu ya barabara eneo la Kimanzichana mkoani Pwani, ilomeguka kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, imekarabatiwa. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, alitembelea eneo hilo lililopo Mkuranga katika njia kuu ya kuelekea mikoa ya kusini leo Aprili 28, 2024. Sehemu ya barabara eneo la Kimanzichana mkoani Pwani ilikatika kabla ya ukarabati. Picha na Mtandao “Niwahakikishie…