Chongolo acharuka, ataka uchunguzi ujenzi wa bweni
Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo, kufanya uchunguzi wa matumizi ya fedha kwenye ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Ipapa iliyopo wilaya ya Ileje kwa gharama ya zaidi ya Sh100 milioni. Chongolo ametoa agizo…