Mama asimulia ukuta wa nyumba ulivyowaua ‘wanawe’ wanne, mmoja akinusurika
Dar es Salaam. “Sijui nimemkosea nini Mungu, amenipa adhabu kali inayoacha alama isiyofutika katika maisha yangu.” Haya ni maneno ya Mariamu Julius, aliyoitoa wakati akisimulia jinsi ajali ya ukuta wa nyumba ya jirani ulivyodondokea kwenye nyumba yake na kuchukua uhai wa watoto wake wanne. Amesema kama Mungu angempa kipawa cha kutabiri ajali hiyo kutokea au…