Afrika Kusini yaadhimisha miaka 30 ya demokrasia – DW – 27.04.2024
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa alipongeza mafanikio ya nchi hiyo chini ya uongozi wa chama chake cha African National Congress (ANC). “Afrika Kusini leo ipo mahali pazuri zaidi kuliko ilivyokuwa miaka 30 iliyopita,” Ramaphosa alisema katika hotuba yake ya kuadhimisha “Siku ya Uhuru” katika Majengo ya Muungano mjini Pretoria ambayo ndio makao makuu ya…