Wananchi wasota saa 15 kukatika daraja Tambani, Waziri Ulega aahidi daraja la muda
Temeke. Mamia ya wananchi wamesota kwa takribani saa 15 kutokana na daraja la Kifaulongo katika Kata ya Tambani mkoani Pwani kukatika na kusababisha adha kwa watumiaji wa eneo hilo. Daraja hilo limekatika saa moja usiku jana Ijumaa Aprili 26, 2024 kutokana mvua zilizokuwa zimenyesha maeneo mbalimbali ikiwemo mikoa ya Pwani na Dar es Salaam. Mwananchi…