Dar, Mwanza, Kilimanjaro zaongoza saratani ya mlango wa kizazi
Dar es Salaam. Mikoa ya Kilimanjaro, Dar es Salaam na Mwanza imetajwa kuongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa saratani ya mlango wa kizazi, utafiti wa mwaka 2024 uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) umeonyesha. Wakati utafiti ukileta matokeo hayo, viongozi wa dini wamepaza sauti zao wakiitaka jamii kupuuza uvumi…