MISAADA MBALIMBALI YAWAFIKIA WANAWAKE WALIOJIFUNGUA NA WATOTO KATIKA KAMBI ZA WAHANGA WA MAFURIKO RUFIJI

Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji April 23 Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa ya mafuriko Rufiji na Kibiti mkoani Pwani. Aidha amepongeza mkoa,maofisa ustawi wa jamii kata,wilaya na…

Read More

WADAU WA KILIMO IKOLOJIA HAI WAJADILI MPANGO YA MWAKA  2024/25

  Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo, Obadia Nyagiro,akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa Kilimo Ikolojia hai kilichoratibiwa chini ya mwamvuli wa Taasisi za Kilimo Hai Tanzania (TOAM) kilichofanyika jijini Dodoma. Mwenyekiti wa TOAM, Dk.Mwatima Juma,akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa Kilimo Ikolojia hai kilichoratibiwa chini ya mwamvuli wa Taasisi…

Read More

RAS ,MRATIBU WA MAAFA PWANI WAPOKEA UGENI KUFANYA UFUATILIAJI WA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KAMBI ZA MAFURIKO

Na Mwamvua Mwinyi,RufijiApril 23 Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa ya mafuriko Rufiji na Kibiti mkoani Pwani. Aidha amepongeza mkoa,maofisa ustawi wa jamii kata,wilaya na mkoa…

Read More

Bodaboda waeleza mafanikio mafunzo usalama barabarani

MADEREVA bodaboda katika Jiji la Dodoma wameeleza jinsi mafunzo ya elimu ya usalama barabarani yalivyo wafumbua macho na kuwafanya kufahamu sheria mbalimbali za barabarani na hivyo kuendelea na kazi yao wakiwa salama. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Wamesema hayo mbele ya waandishi wa habari waliokuwa wametembelea kijiwe cha bodaboda cha Kijiwe Pesa ambapo baadhi ya bodaboda…

Read More

Shule iliyosababisha mkandarasi kutimuliwa Zanzibar yafunguliwa

Unguja. Shule ya Sekondari iliyosababisha mkandarasi kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar imekamilika na kufunguliwa rasmi. Sekondari hiyo iliyopewa jina la Hassan Khamis Hafidh yenye ghorofa tatu ina madarasa 41. Mwonekano wa Shule ya Sekondari  Hassan Khamis Hafidh. Ujenzi wake umegharimu Sh5.4 bilioni ambao ulianza Februari 2022. Kwa mujibu wa mkataba ilitakiwa kukamilika Agosti mwaka 2022. Hata hivyo,…

Read More

SERIKALI KUENDELEA NA UTEKELEZAJI GRIDI YA TAIFA YA MAJI

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amesema Serikali inaendelea na maandalizi ya utekelezaji wa Gridi ya Taifa ya Maji inayolenga kutumia vyanzo vya uhakika vya maji ikiwemo maziwa na mito. Ameyasema hayo leo April 23, 2024,jijini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa Buhigwe Kavejuru Felix aliyeuliza Serikali ina mpango gani wa kuanzisha Mradi wa Grid…

Read More