Makonda ahojiwa kwa saa tatu CCM
Mwananchi Digital leo iliweka kambi kwenye ofisi za makao makuu ya CCM jijini Dodoma, ilimshuhudia Makonda akiingia kwenye ofisi hizo saa 3.15 asubuhi akiwa na gari aina ya Toyota Land Cruiser rangi ya kijivu
Mwananchi Digital leo iliweka kambi kwenye ofisi za makao makuu ya CCM jijini Dodoma, ilimshuhudia Makonda akiingia kwenye ofisi hizo saa 3.15 asubuhi akiwa na gari aina ya Toyota Land Cruiser rangi ya kijivu
Bukoba. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kukerwa na kauli ya baadhi ya viongozi wa Serikali na chama kilichopo madarakani kuwa kila fedha zinazotolewa kwa ajili ya maendeleo nchini, ni za Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Bukoba mjini mkoani Kagera leo Aprili 22, 2024 baada ya maandamano, Mbowe amesema…
Na. Mwandishi Wetu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ambaye ni Mwenyekiti wa TNCM ameongoza Mkutano wa Tanzania National Coordinating Mechanism (TNCM) ulilenga kujadili mikakakati mbalimbali itakayoongeza tija na ufanisi katika utekelezaji wa Programu za Malaria, UKIMWI na Kifua Kikuu zinazofadhiliwa na Mfuko wa Dunia…
Na Nora Damian, Mtanzania Digital-Dodoma Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amewataka Watanzania kujivunia miaka 60 ya Muungano na kuuombea uendelee kudumu huku wakizingatia falsafa za 4R yaani maridhiano, ustahamilivu, mageuzi na kujenga upya. Akizungumza Aprili 22,2024 wakati wa maombi na dua ya kuliombea taifa yaliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, amesema ni baraka…
Dodoma. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amesema pale kwenye madai kuwa haki haitendeki, wahusika wafuate taratibu za kutoa taarifa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ili hatua stahiki zichukuliwe kwa wakati. Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Aprili 22, 2024 Jijini Dodoma kwenye maombi na dua maalumu ya kuliombea Taifa iliyofanyika kwenye Uwanja…
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 120 kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT Taifa), unaofunguliwa Jumanne Aprili 23 na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ukiwakutanisha washiriki zaidi ya 600. Kiasi hicho kinachodhamini mkutano wa mwaka huu unaofanyika chini…
Kilwa. Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Somanga Wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi. Akizungumzia ajali hiyo leo Jumatatu Aprili 22, 2024 kwenye eneo la tukio, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori, amesema ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi. Amesema gari dogo la abiria aina…
Kagera. Wanawake 347 mkoani hapa wamebainika kuwa na maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi baada ya kufanyiwa uchunguzi. Jumla ya wanawake 4,689 wamefanyiwa uchunguzi wa saratani hiyo mkoani Kagera. Akizungumza leo Jumatatu Aprili 22, 2024, katika maadhimisho ya chanjo Afrika yaliyofanyika Manispaa ya Bukoba, Mganga Mkuu wa Mkoa Kagera, Samwel Raizar amesema mkoa huo…
UJENZI wa ukarabati wa Soko la Kariakoo umefikia asilimia 93 kukamilishwa tayari kuwarejesha wafanyabiashara kwenye soko hilo ambapo hadi sasa hatua kadhaa zimeendelea kuchukuliwa ikiwemo utambuzi na uhakiki wa waliokuwa wafanyabiashara kabla ya janga la moto. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 22, 2024 jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja Mkuu wa Shirika la…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kitega Uchumi cha Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange, Aprili 22, 2024. Wengine walio hudhuria ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Rajab Abdallah, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani,…