Sugu akubali mdahalo na Msigwa, kila mmoja akitamba
Mbeya. Siku moja baada ya mgombea uenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa kumtaka mpinzani wake, Joseph Mbilinyi “Sugu” kwenye meza ya mdahalo, mpinzani wake huyo amesema yupo tayari wakati wowote. Jana, Jumapili Aprili 21, 2024 akirejesha fomu ya kutetea nafasi yake, Mchungaji Msigwa alimtumia salamu Sugu akimtaka kwenye mdahalo mmoja ili kuulizwa…