‘Fanyeni utafiti ughaibuni kujifunza mambo mapya’

Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Historia Tanzania na Mdhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Maxmilian Chuhula amesema ipo haja kwa wasomi wa vyuo vikuu kufanya utafiti nje ya nchi, ili mbali ya kuongeza maarifa, wajifunze tabia na desturi mataifa mengine.  Amesema ni rahisi wasomi hao kuja na maandiko yatakayosaidia kuikomboa jamii…

Read More

Makada Chadema kumkabili Lema Kaskazini

Mbeya. Wakati vigogo wa Chadema Kanda za Victoria, Serengeti, Nyasa na Magharibi wakipigana vikumbo kuchukua na kurejesha fomu za kuwania uongozi, baadhi ya makada wa Kanda ya Kaskazini nao wanajipanga kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.  Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Chadema, uchaguzi wa kanda nne utafanyika Mei mwaka huu na nafasi zinazogombewa katika uchaguzi huo…

Read More

Sababu aliyekuwa CDF Kenya kuzikwa bila jeneza

Dar es Salaam. Marehemu Francis Ogalla aliyekuwa Mkuu wa Majeshi nchini Kenya, atazikwa pasipo mwili wake kuwekwa kwenye jeneza, kaka yake mkubwa Canon Hezekiah ameeleza.  Jenerali Ogalla alifariki dunia Aprili 18, 2024 baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria pamoja na maofisa wengine tisa wa Jeshi kuanguka. Kifo cha kiongozi huyo mkuu wa Jeshi nchini Kenya kilitangazwa…

Read More

Mfumo dume unavyowatesa wanawake walima mpunga Mbarali

Mbeya. Wanawake wa Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wanajishughulisha na kilimo cha mpunga wanakabiliwa na changamoto kubwa ya mfumo dume unaozua migogoro inayowasababishia vipigo na ukatili mwingine wa kijinsia. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Ofisa Ustawi wa Jamii wa Kata ya Igurusi, wilayani humo, Casmiri Pius, asilimia 75 hadi 80 ya wanawake wanajishughulisha na…

Read More

Watanzania watakiwa kuzingatia ubora wa bidhaa

Dar es Salaam. Watanzania wametakiwa kuzingatia ubora wanaponunua bidhaa, ili kuepuka hasara kwa kununua bidhaa zisizodumu na zinazotumia nishati nyingi.  Hayo yameelezwa jana Aprili 19, 2024 katika mkutano wa uzinduzi wa bidhaa za viyoyozi (AC) zinazouzwa na kampuni ya Haier Tanzania. Kampuni ya Haier iliingia rasmi ubia na kampuni ya GSM Group mwaka 2023 kwa…

Read More

NCCR yasema uchumi wake hauruhusu kufanya mikutano

Dar es Salaam. Viongozi wa Chama cha NCCR Mageuzi wametakiwa kurudi majimboni mwao ili kuwahamasisha wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa na kukijenga chama. Hatua ya chama hicho imekuja baada ya kile kinachoelezwa hali ya uchumi wa chama hicho kutowaruhusu kufanya  mikutano ya hadhara kama vyama vingine. Kuwaambia viongozi wao warudi majimboni ni moja…

Read More

Waziri Mkuu kuongoza majaribio SGR Dar-Dodoma Aprili 21

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza safari ya majaribio ya treni ya reli ya kisasa (SGR) itakayofanya safari kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa na watu takriban 600. Majaribio hayo yatafanyika Aprili 21, 2024.  Katika treni hiyo Majaliwa ataambatana na viongozi wa Serikali, dini na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenda Dodoma…

Read More

Mbivu, mbichi suala la kikokotoo kujulikana Mei Mosi

Dodoma. Serikali imesema suala la kanuni mpya ya kikokotoo cha pensheni ya wastaafu lina maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan na limeanza kufanyiwa kazi, majibu yatajulikana kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, jijini Arusha. Hayo yamesema leo Ijumaa Aprili 19, 2024 na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira…

Read More

Wafugaji Monduli walia bwawa kupasuka, kupoteza maji

Arusha. Wananchi wa jamii ya wafugaji katika kijiji cha Nanja kilichopo wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wameiomba Serikali kuharakisha ukarabati wa kuta za bwawa la maji lililopo kijijini hapo, ambalo kuta zake zimevunjika na kusababisha maji mengi kupotea. Bwawa hilo la kuhifadhia maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na kunyweshea mifugo, liliharibiwa na maji…

Read More