Wadau kushirikiana kusafirisha Watanzania kwenda China, Dubai
Dar es Salaam. Kampuni ya simu za mkononi ya Infinix kwa kushirikiana na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) wamezindua rasmi promosheni iliyopewa jina la “AA NA MANOTI” kwa wateja za simu za Infinix. Promosheni hiyo inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa simu za Infinix na hasa kwa wateja wa simu za NOTE 40 na NOTE…