Mashindano ya Taifa ya klabu kuogelea yaanza kwa kishindo
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Mashindano ya Taifa Klabu ya Kuogelea yameanza leo Aprili 20,2024, huku waogeleaji kutoka klabu mbalimbali wakionekana kuchuana vikali kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika(IST), Masaki jijini Dar es Salaam. Michuano inayotarajiwa kumalizika kesho Aprili 21,2024 inashirikisha jumla ya klabu 11 za Tanzania na mbili zikitokea nchini…