Makowo wapewa gari la wagonjwa waliloomba serikalini 2021
Njombe. Wananchi wa Kata ya Makowo, Halmashauri ya Mji wa Njombe, wamepatiwa gari la kubeba wagonjwa litakalowapunguzia changamoto ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya. Akikabidhi gari hilo leo Jumamosi Aprili 20, 2024 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika amesema mwaka 2021 aliomba hospitali hiyo ipatiwe vifaa tiba, wahudumu wa afya na gari la…