Vita mpya bodaboda wakilia mikataba ya kinyonyaji
Dar/Mara. Biashara ya usafirishaji abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda imegeuka ajira kubwa nchini ikiwa na mambo mengi ndani yake. Wapo wenye pikipiki zao wenyewe, wapo wanazikodi na kurejesha hesabu kwa tajiri (mmiliki) kila siku na wapo wenye mikataba, kwamba baada ya kurejesha fedha za mmiliki pikipiki inabaki mali yao. Utaratibu huu wa mkataba,…