DKT.GWAJIMA ATOA AGIZO MEWATA KUTOA ELIMU YA UKATILI WA KIJINSIA KWA JAMII
NA ZIANA BAKARI WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye mahitaji maalumu, Dk. Dorothy Gwajima, amewataka wanachama wa Chama Cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA), kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na masuala ya ukatlli wa kijinsia hususan ukeketaji kwa watoto. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 21 wa…