Sh750 milioni zatengwa kuwapa mitaji wakulima wadogo wa shayiri
Dar es Salaam. CRDB Bank Foundation (CBF) imetenga kitita cha Sh750 milioni ili kuwapa mitaji wezeshi wakulima wadogo wa shayiri kwenye mikoa ya Kaskazini. CBF imebainisha hayo hivi karibuni wakati wa kusaini mkataba wa makubaliano (MoU) na kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) kwa ajili ya ushirikiano unaolenga kuwawezesha wakulima wadogowadogo wa zao hilo. Mkurugenzi…