Hakuna kitakachoharibika Iran – DW – 20.05.2024
Muda mfupi baada ya Kiongozi wa juu wa kisiasa na kidini wa Iran Ayatollah Ali Khamenei kumtangaza kuwa kaimu Rais, Mohammad Mokhber ameongoza kikao chake cha kwanza cha baraza la mawaziri. Katika kikao hicho Mokhber amewahakikishia raia wa taifa hilo kuwa hakuna kitakachoharibika baada ya kifo cha Ebrahim Raisi. Soma zaidi: Risala za rambirambi zatolewa kutoka…