Kutoka kilio hadi kicheko cha maji Uhambingeto
Iringa. Wakazi wa Kijiji cha Uhambingeto, Jimbo la Kilolo mkoani Iringa wamempokea Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew kwa shangwe na nderemo baada ya kuanza kupata maji kijijini humo. Mwaka 2023, wananchi hao walimpokea aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwa kuangua vilio wakilalamika kukwama kwa mradi wa maji. Baadaye, Waziri wa Maji, Jumaa…