UNYANYAPAA , MITIZAMO HASI YA JAMII KIKWAZO CHA AJIRA ZA WATU WENYE ULEMAVU
NA BALTAZAR MASHAKA,MWANZA SHIRIKISHO la Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Wilaya ya Nyamagana,linatambua jitihada za serikali za kuboresha maisha ya Watanzania wakiwemo watu wenye walemavu, mitizamo hasi ya jamii na sekta binafsi kuwa walemavu hawawezi kufanya kazi licha ya kuwa na sifa na elimu ni kikwazo cha kutoajiriwa. Mwenyekiti wa SHIVYAWATA wilayani humu,Hamza Nyamakurura amesema…