Helikopta iliyombeba Rais Iran yanguka, chanzo hakijajulikana
Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi imeripotiwa kuanguka baada ya kupata shida katika kutua. Kwa mujibu wa televisheni ya Taifa ya Iran, helikopta hiyo imeanguka leo, Mei 19, 2024 karibu na Mji wa Jolfa, uliopo mpakani na Azerbaijan. Hata hivyo, taarifa hiyo haijaweka wazi chanzo cha moja kwa moja cha ajali hiyo, ingawa…