TANESCO MKOA WA DODOMA WAAHIDI WANANCHI WAKE UPATIKANAJI WA UMEME WA UHAKIKA
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Meneje wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania wa Mkoa Dodoma Mhandisi Donasiano J Shamba amesema kuwa seriakli ilitoa fedha takribani Bilioni 53 ili kuongeza uwezo wa na upanuzi wa kituo cha grid cha kupoza umeme kilichopo Zuzu kutoka Megawati 48 hadi Megawati 200 kwa kiweka transformation mbili zenye uwezo…