Waliovamia mlima Kawetere wamilikishwa hekari nyingine 698
Mbeya. Serikali kupitia Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imetoa eneo lenye ukubwa wa hekari 698 kwa wananchi wanaodaiwa kuvamia hifadhi ya Mlima Kawetere na kujenga makazi ya kudumu kinyume cha sheria. Hatua hiyo imetokana na agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kutaka busara itumike baada ya kuwepo kwa mvutano wa wananchi wa…