Muundo INEC waendelea kukosolewa na wadau
Dar es Salaam. Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ianze kutumika, baadhi ya wadau wameendelea kuikosoa wakisema haijakidhi malalamiko ya wananchi kuhusu uendeshwaji wa uchaguzi nchini. Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na.2 ya 2024 ni miongoni mwa sheria tatu zilizotiwa saini na Rais Samia Suluhu…