China na Urusi kuanza “enzi mpya” ya ushirikiano – DW – 17.05.2024
Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenyeji wake wa China Xi Jinping wameahidi kuanza “zama mpya” ya ushirikiano katika kile kinachotafsiriwa kama kuungana pamoja dhidi ya mpinzani wao mkuu Marekani ambaye wanamuelezea kuwa mchochezi anayetaka kurejesha enzi za vita baridi na kusababisha machafuko kote duniani. Rais Xi amempokea Putin kwa heshima zote za kiitifaki na…