Dk Mpango ataja mchango wa Askofu Ruwa’ichi nchini
Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema Serikali inatambua thamani ya utumishi wa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi katika kipindi cha miaka 25 alichotumikia utume wake nchini. Akizungumza leo Mei 16, 2024 akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye adhimisho la misa ya jubilei…