Songwe yaweka mikakati kuongeza uzalishaji wa kahawa
Songwe. Wakati mkoa wa Songwe ukishika nafasi ya pili kitaifa kwa uzalishaji zao la kahawa aina ya Arabika, Serikali mkoani humo imesema inahitaji kuongeza uzalishaji wake kutoka tani 11,355 hadi 32,617 ifikapo mwakani 2025. Hayo yamebainishwa leo Mei 16, 2024 wakati wa hafla ya kufunga mafunzo kwa wakulima 681 wa zao hilo kutoka vyama sita…