DKT.MAGEMBE AZINDUA MPANGO WA MAJARIBIO WA WATAALAMU WA KUJITOLEA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa majaribio wa wataalamu wa kujitolea kwa ushirikiano wa Wizara ya Afya na US Peace Corps ambao utatekelezwa katika wilaya za Bahi, Chamwino Mkoani Dodoma na Mafinga Mkoani Iringa,hafla hiyo imefanyika leo Mei 16,2024 jijini Dodoma. Na.Mwandishi Wetu-Dodoma…