Wanajeshi watano wa Israel wajeruhiwa kwa kugongwa kwa gari
Israel. Wanajeshi watano wa Jeshi la Israel (IDF), wamejeruhiwa baada ya kugongwa na gari eneo la Haifa. Tukio hilo lililotokea asubuhi ya leo Mei 16, 2024 linachunguzwa kubaini iwapo ni ajali ya kawaida au shambulio dhidi ya askari hao. Askari hao wamegongwa jirani ya kambi ya kijeshi walipokuwa wamesimama kando mwa barabara katika Mtaa wa…