Mbowe: Hatuoni faida ya demokrasia
Mwenyekiti wa Chadema, Fremaan Mbowe amesema Tanzania haijanufaika na miaka 30 ya demokrasia kutokana na mifumo iliyopo kukinufaisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinachoamini fikra zake ndizo sahihi katika kuongoza nchi. Anaripoti Salehe Mohamed, Zanzibar… (endelea). Mbowe ametoa kauli hiyo leo Alhamis katika mkutano wa demokrasia kwa mwaka 2024 unaofanyika katika Hotel ya Golden Tulip, ambapo…