Serikali kuzihamisha kaya 1,712 KIA ifikapo Juni
Hai. Serikali imesema shughuli ya kuzihamisha kaya 1,712 za wilaya za Arumeru mkoani Arusha na Hai mkoani Kilimanjaro, zinazodaiwa kuvamia ardhi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) itakamilika Juni 2024. Kaya zinazopaswa kuondoka katika upande wa wilaya ya Hai ni 1,061 zilizopo viijiji vya Tindigani, Mtakuja, Chemka na Sanya Station, huku upande…