VIJIJI 60 NKASI KUNUFAIKA NA MRADI WA LTIP

Na. Magreth Lyimo, MLHHSD Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) imeendelea kuhakikisha inaongeza thamani katika ardhi za Watanzania ambapo katika Wilaya ya Nkasi, Mkoani Rukwa takribani vijiji 60 vitanufaika na mradi huo kwa kupangiwa matumizi ya ardhi ambapo mpaka sasa vijiji 45 matumizi…

Read More

WANA USALAMA WA ANGA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA ZANZIBAR

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema sekta ya utalii ina mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia usafiri wa anga ambao ni kichochea kikuu cha ukuaji wa uchumi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipofungua Kongamano la sita la usafiri wa anga Jumuiya ya Afrika Mashariki katika…

Read More

Tume Huru ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025

Unguja. Wakati uzinduzi wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura ukitarajiwa kufanyika Julai Mosi, 2024, Sh418 bilioni zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya kazi hiyo. Uzinduzi huo utafanyika mkoani Kigoma ambapo mgeni rasmi atakuwa  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Mei 15, 2024, mjini Unguja,  Mwenyekiti wa Tume Huru ya…

Read More

Simbu kuungana na mabalozi mbio za African Day Marathon

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Mwanariadha Felix Simbu atakuwa miongoni mwa washiriki wa mbio za maadhimisho ya Siku ya Afrika ‘African Day Marathon’, akiungana na mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Mbio hizo zilizoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Umoja wa Mabalozi nchini (ADG), zinatarajia kufanyika…

Read More

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA UNHCR NA UNEP

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR) Bi. Mahoua Parum’s pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bi. Clara Makenya Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Mei…

Read More

Majeruhi wanne ajali iliyoua Saba morogoro waruhusiwa kutoka hospitali

Majeruhi wanne kati ya watano waliokuwa wanatibiwa katika hospitali ya Wilaya Mvomero waliotokana na ajali iliyoua watu saba wameruhusiwa kutoka hospitali huku mmoja akipelekwa hospitali ya Rufaa Mkoa Morogoro kwa matibabu zaidi. Akizungumza na ayo tvna Millard ayo .com Mganga mfawidhi hospitali ya Wilaya Mvomero Dokta Frances Paul amesema majeruhi hao wanne walitibiwa na kuruhusiwa…

Read More