India yaonesha nia duru ya tano ya kunadi vitalu
Ubalozi wa India Nchini Tanzania umekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa lengo la kupata taarifa zaidi kuhusu zoezi la kunadi vitalu vya utafutaji wa mafuta na gesi asilia linalotarajiwa kufanyika Tanzania Bara Mwaka huu. Mazungumzo hayo yamefanyika Mei 14, 2024 katika Ofisi za PURA – Dar…