Zaidi ya watu 500,000 wakimbia mapigano Rafah, UN – DW – 14.05.2024
Shirika la Umoja wa Mataifa la misaada kwa Wapalestina UNRWA limeandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X na kueleza zaidi kwamba Wapalestina hawana mahala pa kuenda. Kwamba hakuna usalama wowote ikiwa vita havitasistishwa. Mji wa Rafah ambao tayari umejaa wakimbizi wa ndani, unatizamwa kama ngome ya mwisho ya wanamgambo wa Kipalestina wa kundi la…