Shule ya Kimataifa ya Al-Irshaad yakuza vipaji

-Vijana wake wa Mpira wa miguu kumenyana  na Tottenham na Wolves Shule ya Kimataifa ya Al-Irshaad iliyopo Masaki Jijini Dar es Salaam inawataka Watanzania kupeleka watoto wao kupata elimu shuleni hapo ili kuvumbua na kuendeleza vipaji vya vijana wa Kitanzania. Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Salim Sadiq anasema swala la kukuza vipaji na kuviendeleza ni…

Read More

MIUNDOMBINU YA BARABARA INAYOJENGWA NI KWAAJILI YA KUWASAIDIA WANANCHI – MHE KATIMBA

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema Serikali imekuwa ikijenga miundombinu mbali mbali kama vile Barabara kwa lengo la kuwasaidia Wananchi hivyo Serikali haitasita kuchua hatua kwa anayekwamisha jitihada hizo. Mhe. Katimba amesema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha…

Read More

Balozi wa Pamba nchini alia na uzalishaji hafifu

Na Samwel Mwanga, Maswa BALOZI wa Pamba nchini, Agrey Mwanri, amesema kuwa uzalishaji mdogo wa zao la pamba kwa ekari unasababishwa na baadhi ya viongozi ambao hawatimizi wajibu wao katika kusimamia wakulima wa zao hilo kulima kwa kufuata sheria na kanuni zinazoongoza kilimo cha zao hilo. Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Wilaya…

Read More

Tanzania kunufaika na uanachama wa jumuiya za nishati za ukanda wa afrika mashariki (EAPP) na nchi zilizo kusini mwa afrika(SAPP)

Tanzania inatarajiwa kunufaika na uanachama wake katika jumuiya za nishati za Afrika Mashariki yaani (East African Power Pool) na Kusini (South Africa Power Pool) katika maeneo mbalimbali ikiwemo biashara ya umeme pamoja na kuunganishwa katika gridi ya pamoja. Hayo yamebainishwa katika warsha ya siku tano iliyowakutanisha wakuu wa sekta ya nishati pamoja na washauri kutoka…

Read More

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA BRAZILI NCHINI TANZANIA IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi mpya wa Brazil Nchini Tanzania Mhe.Gustavo Martins Nogueira alipofika Ikulu Jijini Zanzibarb leo 13-5-2024 kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein…

Read More