WANANCHI WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU

Na. Beatus Maganja Kufuatia changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu nchini, wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa hususani Shinyanga na Mwanza wamekubali na kuahidi kushirikiana na Serikali kukabiliana changamoto hiyo ili kupunguza adha kwa wananchi hasa wale wanaoishi pembezoni mwa hifadhi. Wakizungumza na waandishi wa habari katika ziara iliyofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa…

Read More

Serikali yataja vikwazo 10 matumizi ya nishati safi, mikakati kuvikabili

Dar es Salaam. Wakati Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kuwa mwenyekiti mwenza katika mkutano wa nishati safi ya kupikia Afrika utakaofanyika nchini Ufaransa, Serikali imebainisha changamoto 10 kuhamia kwenye matumizi ya nishati safi pamoja na mikakati ya namna ya kukabiliana nazo. Mkutano huo unafanyika kesho Jumanne, Mei 14,2024 nchini Ufaransa, Rais Samia amealikwa…

Read More

Bima ya afya kwa wote, tusubiri kwanza

Dar es Salaam. Matarajio ya Watanzania juu ya bima ya afya kwa wote kuanza Julai mosi mwaka huu ‘yameota mbawa’ baada ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/2025 yaliyowasilishwa jana bungeni kutoonyesha mwelekeo wa kuanza hivi karibuni. Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote ulipitishwa na Bunge…

Read More

Prof. Ndakidemi aitaka TMA kutoa taarifa kwa njia ya SMS

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi (CCM) ameishauri Serikali kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) kutumia simu za mkononi ili kuwapeleka wananchi taarifa muhimu pale inapotokea kuna hali tete katika maeneo mbalimbali kuhusu hali ya hewa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Prof. Ndakidemi ametoa rai hiyo leo Jumatatu bungeni jijini Dodoma wakati…

Read More

Maswali yalivyowavuruga wagombea Chadema | Mwananchi

Dar es Salaam. Usaili wa wagombea wa uenyekiti, umakamu na wahazini wa kanda nne za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ngoma nzito ndivyo unavyoweza kusema. Hii inatokana na mchakato kuchukua muda mrefu tofauti na matarajio ya wagombea na hofu ya watia nia kupenya. Usaili huo hauna tofauti na uliofanyika jana Jumapili, Mei 12, 2024…

Read More

ZIMAMOTO WAZINDUA NYUMBA ZA MAKAAZI NA MAGARI.

DODOMA. Mei 13, 2024 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mhandisi Hamad Masauni (Mb) amezindua Nyumba za Makaazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zilizopo Kikombo Jijini Dodoma. Uzinduzi huo umefanyika sambamba na uzinduzi wa Magari 12 ya kuzimamoto, yakiwemo Magari mawili ya Ngazi yenye uwezo wa kufanya maokozi katika Majengo Marefu…

Read More