DC KASILDA AKERWA NA RUWASA SAME KUTOSHIRIKISHA JAMII KATIKA MIRADI YAKE.
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Wakala wa maji safi na usafi wa Mazingira vijijini (RUWASA) wilayani humo kushindwa kushirikisha jamii husika kwenye maeneo mbalimbali ambako kunatekelezwa miradi ya maji hali inayopelekea kutokea malalamiko kutokana na kutoelewa nini kinaendelea. Kasilda ameeleza hayo baada…