Sh102 bilioni fidia kwa watakopisha mradi mwendokasi
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeidhinisha Sh102 bilioni ili kulipa fidia kwa wakazi wa Dar es Salaam ambao watalazimika kupisha ujenzi wa mradi waawamu ya nne na tano wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT). Hatua hiyo si tu upanuzi wa mradi ili kuboresha usafiri wa umma pekee bali unathibitisha kutambuliwa kwa umuhimu wa kuunga mkono…