MERIDIANBET YAPELEKA TABASAMU KIGAMBONI SIKU YA KINA MAMA
KAMPUNI ya Meridianbet imefanikiwa kupeleka tabasamu Kigamboni eneo linalofahamika kama mji mwema, Kwani wataalamu hao wa michezo ya kubashiri wamefika kwenye Zahanati inayopatikana eneo hilo na kutoa msaada kwenye siku ya kina Mama duniani. Katika kuhakikisha wanaonesha kuuthamini mchango wa mwanamke katika jamii walifika katika Zahanati hiyo na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula,…