BOEING 787 – 8 (DREAMLINER) YA ATCL ILIYOKO MALAYSIA KUREJEA JUNI 2024
Dar es Salaam, 11 Mei 2024 Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inaujulisha umma kuwa taarifa inayosambaa kuhusu ndege yake aina ya Boeing 787- 8 yenye usajili wa namba 5H-TCJ kupelekwa kwenye matengenezo makubwa yaani Check – C kabla ya kufikisha muda wake tangu inunuliwe na kutelekezwa nchini Malaysia sio za kweli. Ndege yake ya B787-…