Dk. Ndumbaro atuma ujumbe mzito TEFA ikizindua ofisi
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro, amekitaka Chama Cha Soka Wilaya ya Temeke(TEFA), kulinda na kuendeleza heshima ya kimpira wilayani humo kwa kuepuka migogoro. Dk. Ndumbaro alipiga simu wakati hafla ya uzinduzi wa ofisi za chama hicho uliofanyika leo Mei 10, 2024 kwenye Uwanja wa TEFA, Tandika,…