WAFANYABIASHARA, JAMII INAYOJIHUSISHA NA SEKTA YA MADINI WATAKIWA KUHAKIKISHA WANATUMIA VIFAA VYENYE UBORA

Na Mwandishi wetu Wafanyabiashara wa madini pamoja na jamii inayojihusha na sekta ya madini wametakiwa kuhakikisha wanatumia vifaa vyenye ubora katika uchakataji wa madini ili kuongeza ubora kwa ustawi wa shughuli za madini na kuendana na kasi ya maendeleo ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Nesch…

Read More

MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA BARABARA YA DAR-LINDI-MTWARA YOTE NI SHWARI

Barabara ya Dar es salam-Lindi-Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji wa mawasiliano katika maeneo yote yaliyokuwa yamekatika. Mvua kubwa zilizoambata na Kimbunga Hidaya ziliharibu miundombinu ya barabara hiyo katika eneo la Mikereng’ende, Songas, Somanga na Matandu-Nangurukuru ambayo yalikatika kutokana na mvua zilizonyesha na kuambatana na Kimbunga Hidaya. Juzi tarehe 9…

Read More

Dreamliner ATCL yafumuliwa injini Malaysia

Dar es Salaam. Ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), Boeing Dreamliner ipo kwenye matengenezo makubwa ya lazima katika mji wa Kuala Lumpur, nchini Malaysia, Mwananchi limebaini. ATCL imekiri kuwa ndege hiyo yenye namba za usajili 5H-TCJ ipo kwenye matengenezo hayo tangu Novemba 2023 na inatarajiwa kukamilika Juni, 2024. Hii ni ndege ya pili…

Read More

RC MALIMA, MOROGORO KUWA KITOVU CHA UTALII

Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amewataka wanahabari kuwa mabalozi wa utalii, kuandika taarifa zinazowavutia watalii kutoka nje na ndani ya nchi. RC Malima ameyasema hayo wakati akifungua Mafunzo kwa wanahabari yaliyoandaliwa na Chama Cha Waandishi wa habari Tanzania (TAMPA) kwa kushirikiana na TANAPA ambapo amesema Mkoa wa Morogoro unahifadhi Tatu Kubwa ambazo ni Mikumi,Udzungwa…

Read More

Sakata mtuhumiwa kupigwa risasi lachukua sura mpya

Dar es Salaam. Wiki moja baada ya Mwananchi kuripoti tuhuma za ofisa wa Polisi kudaiwa kumpiga risasi Ronald Mbaga wakati akimhoji kwa tuhuma za kuiba bastola ya mfanyabiashara, mfanyabiashara huyo naye amelalamika kutotendewa haki na Polisi. Ilidaiwa kuwa ofisa huyo wa polisi (jina limehifadhiwa) alimpiga risasi Mbaga akiwa anamhoji nyumbani kwake, lakini madai hayo yamekanushwa…

Read More