Uswiss na Msalaba Mwekundu wafanya maonyesho ya utu

Dar es Salaam. Ubalozi wa Uswisi nchini, kwa kushirikiana na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) na Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS), wamezindua maonyesho ya ‘Dialogues On Humanity’ ya kuadhimisha miaka 75 ya mikataba ya Geneva ya mwaka 1949. Katika maonyesho hayo pia itaadhimishwa Siku ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu duniani. ‘Dialogues…

Read More

Mpina afyatuka bungeni, adai mawaziri wanampikia majungu

Dodoma. Mbunge wa Kisesa mkoani Mwanza, Luhaga Mpina amewatuhumu mawaziri kuwa wanampikia majungu kwa kuwa wameshindwa kujibu maswali ama hoja anazozitoa bungeni. Mpina, ambaye amekuwa na kawaida ya kuzungumza bungeni na kuwachachafya mawaziri, amesema watendaji hao wa Serikali wameshindwa kujibu hoja zake na badala yake wamekuwa wakidai ana jambo lake. Mpina ameyasema hayo leo Ijumaa,…

Read More

Tuendelee kuiombea nchi na viongozi wake-DK.Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuwaombea Dua Viongozi ili watimize majukumu yao na kutekeleza ahadi walizoahidi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika sala ya Ijumaa Msikiti wa Qubaa Mbweni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe…

Read More

Vijana Kagera wamshauri Mwenyekiti UVCCM kuomba radhi

Faris katikati akiwa na wenzake kwenye moja ya kazi za chama Ni kwa kauli yake ya kupoteza wanaotukana mitandaoni Na Mwandishi Wetu, Kagera VIJANA wa Chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa huo Faris Buruhan kuomba radhi au kujiuzulu kwenye nafasi yake kwa matamshi yake ya hivi karibuni kutaka kuwapoteza watu…

Read More

Vijana UVCCM Kagera wataka mwenyekiti wao ajiuzulu

VIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa huo Faris Buruhan kuomba radhi au kujiuzulu kwenye nafasi yake kwa matamshi yake ya hivi karibuni kutaka kuwapoteza watu wanaotukana viongozi mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Faris alitoa kauli hiyo hivi karibuni akiwa kwenye ziara katika Mji mdogo wa Rulenge…

Read More

Kwa Wahehe sio mbwa tu, hata panya nao wanalika

Iringa. Wakazi wa Kijiji cha Ndengisivili wilayani Kilolo mkoani Iringa, wamesema ulaji wa panya umekuwa silaha kubwa katika kupambana na uharibifu wa mazao yao hasa mahindi shambani. Wamesema mbali na kuokoa mazao, nyama ya panya ina madini muhimu kwenye mwili wa binadamu jambo lililowafanya waipende nyama hiyo. Kati ya utani unaowatambulisha zaidi wakazi wa Mkoa…

Read More