Serikali yatoa kauli changamoto za kikodi katika sekta ya madini
Dar es Salaam. Serikali imewataka wadau wa madini kuendelea kushikamana wakati huu ikiendelea kutatua changamoto mbalimbali zikiwemo za kikodi . Imesema kuwa inafahamu changamoto ya kodi hususani kifungu cha 56 ya sheria ya fedha na urejeshwaji wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT Refund). Marekebisho yanayohitajika na wadau kwenye sheria ya fedha kutokatwa kwa kodi…