Mradi wa ujenzi wa barabara ya bandari yenye urefu wa kilomita 2.1 wazinduliwa
Kingozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Godfrey Eliakimu Mnzava amezindua Mradi wa ujenzi wa barabara ya bandari yenye urefu wa kilomita 2.1 iliogharimu zaidi ya shilingi milioni 14.89 iliopo katika Kata ya kurasini Wilayani Temeke Jijini Dar es salaam . Mnzava amesema kukamilika kwa barabara hio itasaidia kupunguza changamoto ya msongamano wa magari…