TARI MAKUTOPORA YAZINDUA MKAKATI WA KUWANOA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kupitia kituo chake cha Makutupora jijjni Dodoma kinatekeleza programu maalumu ya kuwajengea uwezo wakulima wa zao la zabibu ili waweze kuzalisha kwa ubora na tija inayotakiwa. Zabibu ni zao la kimkakati linalostawi vizuri mkoani Dodoma, lakini kwa miaka mingi sasa wakulima wanaojihusisha na uzalishaji wa zao hilo la kibiashara…